News

*MT. VINSENTI STRAMBI,* ASKOFU ( 25 SEPTEMBA )
*MAISHA YA WATAKATIFU*
*MT. VINSENTI STRAMBI,* ASKOFU
( 25 SEPTEMBA )
Visenti Strambi alizaliwa 1 Januari 1745 katika mji wa Sivita Vechia (Italia). Alikuwa kitindamimba kati ya watoto wanne ambao watatu wao walifariki wakiwa bado wachanga. Baba yake alikuwa mfanya biashara ya madawa. Alikuwa tajiri, kwa hivi alijulikana sana. Wazee wake waliutambua wajibu wao wa kumlea vizuri mtoto wao, na mama yake, kama vile walivyo akina mama wengine wengi, ndiye hasa aliyemwongoza kwenye maadili ya tabia njema. Wazee walimtambua mtoto wao kwamba alipenda kuwasaidia watoto maskini kiasi kwamba, pengine, alivua koti lake au viatu vyake, na kuwapa maskini hao. Basi, mwelekeo huo wa mtoto wao uliwafanya wamsukume asomee Upadre, awe Padre wa Jimbo.
✝️ REFLECTION CAPSULE – Sep 25, 2023: Monday
✝️ REFLECTION CAPSULE – Sep 25, 2023: Monday
“Letting the light of Christ’s Love to burn and blaze like a radiating fire through our lives!”
(Based on Ezra 1:1-6 and Lk 8:16-18 – Monday of the 25th Week in Ordinary Time, Year 1)
One of the beautiful hymns known to many of us is: “Shine Jesus Shine!”
A stanza in this very popular hymn states:
“As we gaze on Your Kingly Brightness
So our faces display Your Likeness
Ever changing from glory to glory
>> Mirrored here, may our lives tell Your Story
>> Shine on me, shine on me!”
Growth in Understanding September 25, 2023
Growth in Understanding
September 25, 2023
Monday of the Twenty-Fifth Week in Ordinary Time
Readings for Today
“Take care, then, how you hear. To anyone who has, more will be given, and from the one who has not, even what he seems to have will be taken away.” Luke 8:18
Do you have much? Or little? According to Jesus’ words, if you have much, then you will receive much more; but if you have little, then you will lose even what you have. Does this seem fair?
TAFAKARI YA MASOMO YA DOMINIKA YA 25 YA MWAKA A WA KANISA*
TAFAKARI YA MASOMO YA DOMINIKA YA 25 YA MWAKA A WA KANISA*
*Na Padre Kelvin Onesmo Mkama, Jimbo Kuu Mwanza*
*SOMO LA KWANZA: Isa. 55:6-9*
Somo letu la kwanza linatukumbusha kuwa *“tukiacha njia zetu mbaya tutapata msamaha wa Mungu.”* Unabii huu wa Isaya ulitolewa wakati Waisraeli wakiwa uhamishoni Babeli. Waisraeli walifahamu wazi kuwa wamechukuliwa na kupelekwa uhamishoni Babeli kama adhabu kutoka kwa Mungu kwa dhambi walizotenda.
✝️ REFLECTION CAPSULE – Sep 24, 2023: Sunday
✝️ REFLECTION CAPSULE – Sep 24, 2023: Sunday
“Recognizing the immense wonders of God’s Grace at every step of our life, and leading our life with joyful faces!”
(Based on Isa 55:6-9, Phil 1:20c-24, 27a and Mt 20:1-16a – 25th Sunday in Ordinary Time, Cycle A)
Grumbling and complaining had become a habit for old Mrs. Dolly.
She would find a point to be critical for anything and everything.