News
Ziara ya Baba Askofu Lagho katika Parokia ya Muyeye
- Details
Leo ni Jumapili tarehe 9 Juni, siku ya pili ya ziara ya kichungaji ya Askofu Willybard Lagho katika Parokia ya Muyeye. Sherehe ya parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga ilikuwa imesheheni matukio muhimu na yenye baraka nyingi kwa waumini wote.
Wito wa Kushiriki Sherehe ya Parokia ya Muyeye Leo
- Details
Parokia ya Mfiadini Karoli Lwanga, Muyeye Malindi wajiandaa kwa sherehe ya Msimamizi wao leo.
"Amani kwenu! Tunamshukuru Mungu kwa kutufikisha Jumapili ya leo, na tunapojumuika kama familia ya Mungu Muyeye! Sherehe za leo ziwe baraka kwetu chini ya Mt. Karoli Lwanga. Hongera kwa wakandidati wa Ekaristi Takatifu na Kipaimara.
Heri ya sikukuu ya leo". (Pd. Sosthenes Luyembe, S.K., Paroko
REFLECTION CAPSULE – June 09, 2024: Sunday
- Details
✝️ REFLECTION CAPSULE – June 09, 2024: Sunday
"Realising that God is much powerful than the evil; and thus trusting in Him, to always do His Will!"
(Based on Gen 3:9-15, 2 Cor 4:13-5:1 and Mk 3:20-35 - Tenth Sunday in Ordinary Time, Cycle B)
A little boy came to his father with a great sense of earnestness and asked:
“Father, is Satan bigger than I am?"
Baba Askofu Willybard Lagho Ziarani Muyeye Parish
- Details
Baba Askofu Willybard Lagho Ziarani Muyeye Parish
Leo Jumamosi Baba Askofu Willybard Lagho amefanya ziara ya kichungaji katika Parokia ya Muyeye, hasa katika kigango cha Mt. Francis wa Assisi, Msoloni. Ziara hii ilikuwa na lengo la kuimarisha imani ya waumini na kuhimiza zaidi ushirikiano na kujitolea miongoni mwao.
Wanachama Wapya wa CMA na CWA Dekania ya Marafa
- Details
Leo, katika parokia ya Magarini Mhashamu Askofu Willybard Lagho aliongoza Misa Takatifu katika deanery ya Marafa. Huku akiwahimiza waumini, hasa wazazi, kuhusu umuhimu wa kushirikiana katika malezi ya watoto wao. Askofu Lagho alisisitiza kuwa malezi sio jukumu la mzazi mmoja tu bali ni jukumu la wazazi wote wawili, na kwa ushirikiano wao, wanaweza kuwalea watoto katika njia inayofaa.