News
CHILD SAFEGUARDING TRAINING AT SAINT CHARLES LWANGA-MUYEYE PARISH
- Details
The Catholic Congregants of Saint Charles Lwanga, Muyeye Parish, recieved a traing on CHILD SAFEGUARDING and CHILD PROTECTION which was sponsored by the JESUITS.
TAARIFA KUHUSU UTEKAJI NYARA WA RAIA WA UTURUKI
- Details
Baraza la Kidini la Kenya (IRCK) lina wasiwasi mkubwa kuhusu utekaji nyara wa watu saba waombaji hifadhi kutoka Uturuki mnamo tarehe 18 Oktoba 2024 jijini Nairobi. Watu hao—Mustafa Genç, mwanawe Abdullah Genç, Hüseyin Yeşilsu, Necdet Seyitoğlu, Öztürk Uzun, Alparslan Taşçı, na mkewe Saadet Taşçı waliripotiwa kutekwa nyara na watu wasiojulikana.
VIONGOZI WA KIDINI WAKEMEA UTEKAJI NYARA WA RAI WA UTURUKI
- Details
Utekaji nyara wa raia saba wa uturuki, umezua maswali mengi na hofu miongoni mwa wananchi na viongozi mbalimbali humu nchini na ulimwenguni. Utekaji nyara huo ulifanyika hivi majuzi jijini Nairobi na kufikia sasa raia hao wa Uturuki hawajulikani waliko.
MAOMBI YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE JIMBONI
- Details
Mitihani ya kitaifa KCPE na KCSE inatarajiwa kuanza hivi karibuni kote nchini. Wanafunzi wanafanya kila juhudi huku wakishirikiana na walimu wao ili kuhakikisha wanafaulu kwenye mitihani hiyo. Mtihani wa kitaifa unatarajiwa kuanza juma lijalo.
Cathedral Deanery Meeting Held on 29/09/2024
- Details
Cathedral Deanery Meeting Held on 29/09/2024
On September 29, 2024, the Cathedral Deanery convened a significant meeting that brought together priests and religious from three parishes: St. Charles Lwanga, St. Francis Xavier, and St. Anthony. This gathering provided a vital platform for sharing pastoral experiences, discussing accomplishments, and addressing challenges faced within the parishes since the beginning of the year.