News
KENYA CONFERENCE OF CATHOLIC BISHOPS CRITICISES FEMICIDE IN KENYA
- Details
The disturbing rise in femicide cases across Kenya has drawn widespread condemnation and concerns from various sectors of society. The latest statistics paint an alarming picture of the growing violence against women, with femicide becoming a more frequent occurrence in the country.
BARAZA LA MASKOFU KATOLIKI KENYA LAKOSOA SERIKALI
- Details
Baraza la Maskofu Katoliki Kenya (KCCB) umeonyesha kutoridhika na uongzoi wa Rais Ruto na kudai kuwa wakati wa kampeni za urais, Rais Ruto aliwahadaa wananchi kwa ahadi nyingi za uongo. Viongozi hao vilevile wameinyoshea serikali kidole cha lawama kwa kukosa kuzingatia maswala muhimu yanayowaathiri mwananchi, ikiwemo ushuru mkubwa anaotozwa mwananchi, ukosefu wa ajira, ufisadi, kutoeleweka kwa sekta ya elimu na sekta ya afya.
ASKOFU MKUU PHILIP ANYOLO ATEMBELEA STELLA MARIS WATAMU
- Details
Mhashamu Baba Askofu Willybard Lagho aliandamana na Askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki la Nairobi Askofu Philip Anyolo, na kutembelea mradi wa Stella Maris huko Watamu. Huu ni mradi wa jimbo katoliki la Malindi.
A SUCCESSFUL FUNDRAISING FOR STELLA MARIS PASTORAL CENTER IN WATAMU
- Details
A significant fundraising event took place at the St. Anthony Cathedral Church. The mass was presided by the Archbishop of the Archdiocese of Nairobi, Bishop Philip Anyolo. The fundraising was led by His Lordship, Bishop Willybard Lagho, Bishop of the Catholic Diocese of Malindi.
Annual Pastoral Evaluation
- Details
A significant pastoral commission gathering at Bethany Villas today.