News
Narrow Gate
Maisha ya mt. SIRILI WA ALEKSANDRIA, ASKOFU NA MWALIMU WA KANISA ( 27 JUNI )
*MAISHA YA WATAKATIFU*
*MT. SIRILI WA ALEKSANDRIA,*
ASKOFU NA MWALIMU WA KANISA
( 27 JUNI )
Sirili alizaliwa mwaka 370. Aliingia utawani na baadaye akapewa Upadre. Mjomba wake alikuwa Teofili, Askofu wa Aleksandria (Mji mkuu wa Misri), ambaye wakati ule alishika nafasi ya kwanza katika Makanisa ya Mashariki. Sirili alimfuata mjomba wake kama Askofu wa Aleksandria, na aliliongoza jimbo lake kwa ujasiri ambapo kulitokea usumbufu mkubwa. Mambo hayo yote yalisababisha mwanzo mgumu kwa mtu aliyetaka kutoa utumishi katika Kanisa kutokana na elimu na bidii yake ya kuwaunganisha Wakristo.
REFLECTION CAPSULES – June 27, 2023: Tuesday
REFLECTION CAPSULES – June 27, 2023: Tuesday
“Making the right choice – the choice for Jesus and His Kingdom!”
(Based on Gen 13:2,5-8 and Mt 7:6,12-14 – Tuesday of the Twelfth Sunday in Ordinary Time, Year 1)
Nine year old Bobby arrived late for the football match.
The Narrow Gate June 27, 2023 Tuesday of the Twelfth Week in Ordinary
The Narrow Gate
June 27, 2023
Tuesday of the Twelfth Week in Ordinary Time
Readings for Today
Saint Cyril of Alexandria, Bishop and Doctor—Optional Memorial
“Enter through the narrow gate; for the gate is wide and the road broad that leads to destruction, and those who enter through it are many. How narrow the gate and constricted the road that leads to life. And those who find it are few.” Matthew 7:13–14
*MT. ANSELMI,* ASKOFU ( 26 JUNI )
*MAISHA YA WATAKATIFU*
*MT. ANTELMI,* ASKOFU
( 26 JUNI )
Mtakatifu Antelmi alizaliwa Ufaransa mwaka 1107, baadaye akawa Padre. Baada ya kuitembelea Monasteri ya Wakartusi ambako alikuwa na ndugu, aliamua kuingia Utawa akiwa na umri wa miaka 30, na mara moja akafanywa Mkuu. Heshima ya utakatifu wake na busara vilimletea nguvu. Kati ya wale waliomfuata katika Utawa,