News
Mwenye kuushinda ulimwengu ni nani
Mwenye kuushinda ulimwengu ni nani, isipokuwa ni yeye aaminiye ya kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu? Huyu ndiye aliyekuja kwa maji na damu, Yesu Kristo; si katika maji tu, bali katika maji na katika damu. (1Yohana 5:5-6)
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu, ni Bwana Mungu wa majeshi, uhimidiwe ee Bwana Mungu
REFLECTION CAPSULES – Jul 04, 2023
REFLECTION CAPSULES – Jul 04, 2023: Tuesday “Viewing life from the Providence of the Lord and experiencing great and wondrous moments of Blessings!”
(Based on Gen 19:15-29 and Mt 8:23-27 – Tuesday of the 13th Week in Ordinary Time, Year 1)
We live in a world of wonders…
“ASALI ITOKAYO MWAMBANI” Jumanne, Julai 4, 2023,
Juma la 13 la Mwaka wa Kanisa
KUTULIZA MAWIMBI NA YESU!
Jaribu kufikiria ulikuwa katika mashua ndani ya bahari pamoja na Yesu na Mitume wake. Wewe ulikuwa mvuvi na ulikuwa ukitumia muda mwingi katika kuvua katika maisha yako. Siku nyingine mawimbi yametulia na siku nyingine mawimbi hayajatulia. Lakini siku hii ilikuwa ni ya pekee. Sasa siku hii mawimbi ni makali na unaogopa unaona kabisa huenda mambo yasiishie pazuri. Je, utamwamsha Yesu kutoka usingizini? Tutashindana na mawimbi bila kumwamsha yeye?
Rejoicing in the Blessings Given to Others Monday, July 3, 2023
Rejoicing in the Blessings Given to Others
Monday, July 3, 2023
Feast of Saint Thomas the Apostle
Readings for Today
“Put your finger here and see my hands, and bring your hand and put it into my side, and do not be unbelieving, but believe.” Thomas answered and said to him, “My Lord and my God!” Jesus said to him, “Have you come to believe because you have seen me? Blessed are those who have not seen and have believed.” John 20:27–29
MAISHA YA WATAKATIFU* *MT. TOMA,* MTUME ( 3 JULAI )
*MAISHA YA WATAKATIFU*
*MT. TOMA,* MTUME
( 3 JULAI )
Mtakatifu Toma alikuwa mvuvi kutoka Galilaya (Israeli) kama vile walivyokuwa kina Petro, Andrea, Yakobo Yohane. Alikuwa mtu mnyofu na mwenye moyo mkuu. Ndiye yeye aliyesema: "Twende na tufe pamoja na Yesu", siku ile Bwana wetu alipoagua juu ya mateso yake.
Jioni siku ya kwanza ya juma kisha kufufuka kwake, Bwana Yesu aliitokea jamii ya Mitume wote, ila Toma hakuwapo. Baadaye alipoambiwa na wenzake kuwa wamemwona Bwana Mfufuka, yeye alikataa kuamini,