News
Touched by Grace July 1, 2023
Touched by Grace
July 1, 2023
Saturday of the Twelfth Week in Ordinary Time
Readings for Today
Jesus entered the house of Peter, and saw his mother-in-law lying in bed with a fever. He touched her hand, the fever left her, and she rose and waited on him. Matthew 8:14–15
How do we properly respond to the action of God in our lives? In the passage above, we are given the witness of Peter’s mother-in-law to answer that question. It should be noted that Jesus was on a continual mission of healing. In fact, before arriving at the house of Peter,
ASALI MUBASHARA-Jumamosi 01/07/2023
Karibuni wapendwa wa Mungu kwa adhimisho la Misa Takatifu asubuhi ya leo. Katika somo la kwanza Mungu anamtokea Abrahamu akiwa karibu na mialoni ya Mamre. Hapa ni nyumbani kwa Abrahamu alipofikia baada ya kutoka Misri, hapa alijenga hapo madhabahu ya Bwana na ndipo alipozikwa yeye, Sarah na Isaka.
ASALI MUBASHARA-Ijumaa 30/06/2023*
*ASALI MUBASHARA-Ijumaa 30/06/2023*
Karibuni ndugu wapendwa kwa adhimisho la misa Takatifu asubuhi ya leo.
Katika somo la kwanza tunamuona tena Mungu akimtokea Abramu anamtokea na kuendelea kumwalika aendelee kuwa mwaminifu atembee katika njia za Bwana na kuwa mwaminifu.
Bwana anamtokea Abrahamu miaka kumi na tatu baadae baada ya kumwahidi kwamba atampa uzao. Miaka 13 ya kusubiri pengine kwa mtu asiye na imani atakata tamaa kabisa
WAFIADINI WA KWANZA WA KANISA LA ROMA* ( 30 JUNI )
*MAISHA YA WATAKATIFU*
*WAFIADINI WA KWANZA WA KANISA LA ROMA*
( 30 JUNI )
Katika usiku wa kuamkia tarehe 19 Julai, mwaka wa 64, mbiu ya mgambo ililia, ikitangaza kumetokea moto mkubwa mjini Roma (Italia). Moto huu ulienea kwa kasi sana. Ilipofika asubuhi, moto ulikuwa umeteketeza mambo mengi. Wakazi wa mji walitafuta mahali pa kujisitiri pasipatikane; wengi sana wakateketea. Moto uliendelea kuwaka kwa muda wa siku sita usiku na mchana.
Ulipozimika, hali ilionekana kama vile ilikuwa mwisho wa dunia. Kati ya vitongoji kumi na vinne vya mji, vinne viliteketea kabisa, saba vilibaki kama magofu wasimoweza kuishi watu. Ni vijiji vitatu tu ndivyo vilivyoepukana na balaa hili. Harufu ya moto ilikuwa kila mahali, na joto lilikuwa kali mno.
REFLECTION CAPSULES – June 30, 2023:
REFLECTION CAPSULES – June 30, 2023:
“Showing the world that we are redeemed, so that they will believe in our Redeemer!”
(Based on Gen 17:1, 9-10, 15-22 and Mt 8:1-4 – Friday of the 12th Week in Ordinary Time, Year 1)
A missionary who stepped into a village for the first time had an interaction with the village headman.
After knowing that the missionary was there to speak about the Gospel, the village headman, who was open to the truth, stood up…