News
Vijana na Wananchi Washiriki Mazungumzo Ya Maendeleo
Vijana na wanachi kwa ujumla wamehimizwa kujukumika na kujihusisha kikamilifu katika vikao vya meandeleo ili kuhakikisha wanapata maendeleo wanayostahili.
Akizungumza na Radio Bayana, Rhoda Rehema anayefanya kazi na shirika la KWACHA Africa amesema kila mwanachi aliyefikisha miaka kumi na minane na zaidi anahitajika kujihusisha kikamilifu na vikao vyote vya maendeleo ya maeneo yao na serikali kwa ujumla.
"Maswala ya public Participation na muhimu sana kwa kila mtu aliyefikisha miaka kumi na minane anapaswa kuhudhuria vikao na kutoa maoni ya miradi inayostahili", alisema Rehema
Mwenyekiti wa kikundi cha vijana cha Vision Theatre Malindi, Godfrey Kadhengi ameongeza kuwa vikao hivi ni muhimu sana kwani huisaidia serikali kujua ni mradi upi unahitajika katika jamii.
"Vikao hufanyika katika maeneo mengi nchini na huisaidia serikali kujua ni mradi upi unaohitajika na wananchi. Kwa hivyo unapokosa kuhudhuria unachangia kudorora kwa maendeleo katika eneo lako", alisema Kadhengi
Msimamizi wa eneo la Maono Space hapa mjini Malindi, Chris amewasisitiza wananchi kutojihusha na vikao vya maendeleo ni sababu moja kuu ya wao kupata miradi ambayo hawastahili akaongeza kuwa kukosekana kwa hamasa ya kutosha pia huchangia wananchi kutohudhuria vikao hivyo.
"Wananchi kutojihusisha ni sababu moja kuu ya wananchi kupata miradi wasiostahili. Hii inachagiwa na kutokuwepo kwa hamasda ya kutosha ila ni muda sasa wafanye hamasa ya kutosha ili wakati wa vikao wa vikao wananchi wajitokeze kwa wingi", alisisitiza Chris
*ASALI MUBASHARA-Alhamisi 13/07/2023*
*ASALI MUBASHARA-Alhamisi 13/07/2023*
Karibuni sana ndugu zangu wapendwa kwa adhimisho la misa takatifu asubuhi ya leo. Leo tafakari yetu ya neno la Bwana katika somo la kwanza Yusufu anaonesha moyo wa huruma na masikitiko kwa wenzake. Nao ndugu zake ambao hapo awali walimuuza Misri nao wanapatwa na aibu kubwa na mshtuko kwamba waliyetegemea kwamba wamemwangamiza, kumbe kwa sasa ametokea mbele yao kama mkuu, mwenye mamlaka makubwa mbele yao ambao kwa sasa hawawezi tena kuyashinda.
NURU YENU IANGAZE:Tafakari ya siku;Alhamisi trh 13/7/2023.
NURU YENU IANGAZE:Tafakari ya siku;Alhamisi trh 13/7/2023. Na Pd Carilus OFM.
Mwa.44:18-21,23-29;45:1-5,
Mt.10:7-15
"Zikumbukeni ajabu Bwana alizozifanya." Ndugu wapendwa unaalikwa kukumbuka ajabu za Bwana katika maisha yako, maisha ya familia yako. Je unaweza kuyataja? Ni jambo la heri maana ukiyakumbuka basi hutalaumu, wala kuwa na hasira kwa yeyote aliyehusika hata kama yalikuwa ya kukuletea uchungu na huzuni. Utaona kuwa Mungu alikuwa na sababu. Yusufu anayakumbuka na kuwaambia nduguze; Basi sasa, msihuzunike, wala msiudhike nafsi zenu, kwa kuniuza huku; maana Mungu alinipeleka mbele yenu kuhifadhi maisha za watu.
CAPSULE – July 13, 2023: Thursday JULY 13, 2023
✝️ REFLECTION CAPSULE – July 13, 2023: Thursday
JULY 13, 2023
“Engaging in all our works with a sense of Divine Love and Charity, and thus doing ‘mission work at all times!'”
(Based on Gen 44:18-21, 23b-29; 45:1-5 and Mt 10:7-15 – Thursday of the 14th Week in Ordinary Time, Year 1)
A young girl watched her mother washing dishes.
Thinking of how many times she did them, along with all the other housework…
… she said, “Mother, don’t you ever get tired of washing dishes?”
*MT. HENRI (HENRIKO),* KAISARI WA UJERUMANI
*MAISHA YA WATAKATIFU*
*MT. HENRI (HENRIKO),* KAISARI WA UJERUMANI
( 13 JULAI )
Henri alizaliwa Regensburg mkoani Bavaria (Ujerumani) mwaka 973. Mtakatifu Wolgang, Askofu wa Regensburg, alimlea katika ibada na uchaji wa Mungu. Baba yake alipokufa, alirithi nchi ya Bavaria, akamwoa mke, jina lake Kunegunda.