News
Vijana Wajihusishe na Shughuli za Kanisa
Kuhudhuria misa takatifu na kujishughulisha na shughuli mbalimbali kanisani ni jukumu la kila mkristu, ila kwa baadhi ya vijana katika Jimbo katoliki la Malindi hawajakumbatia hili.
Haya yamethibitihswa na Eick Kandila anayeshiriki katika kanisa la Mtakatifu Antonio wa Padua. Akizungumza na Radio Bayana, Kandila amesema vijana wametengewa kwa shughuli za kanisa kwasababu hawajishughulishi.
"Vijana huwa hawaji kanisani kwa wingi wakihitajika kufanya shughuli mbalimbali lakini pindi tuu sherehe zinapoandaliwa, huwa wanakuja kwa wingi", alisema Kandila
Vilevile Xavier Ouma, ameongeza kuwa idadi ya idadi ya vijana wanaojihushisha na shughuli za kanisa imepungua mno ikilinganishwa na apo awali. Akisema sababu moja kuu ni wao kukosa motisha na kuhimizwa kuja kanisani.
"Wamejihusisha na mambo ya kidunia ndio hawajibiki na shughuli za kanisa, lakini wakitiwa motisha na kuhimizwa mara kwa mara watakuja kwa wingi. Ususan wazazi wanajukumu kubwa katika kuwahimiza vijana waje kanisani", alisema Ouma.
Aidha Peter Mbura kutoka kanisa la Mtakatifu Francis Xavier Kisumu Ndogo kutoka kikundi Young Catholic Workers amewasihi vijana kumjua Mungu na kujihusisha na Jumia na watajifunza mambo mengi mazuri yenye kuwafaidi.
"Vijana nawasihi wamjua Mungu maana itawasaidia kiimani na pia wajiunge na Jumwia maana watajifunza mambo mengi", alisema Mbura.
ASALI MUBASHARA-Jumanne 11/07/2023
*ASALI MUBASHARA-Jumanne 11/07/2023*
Karibu wapendwa wa Mungu kwa adhimisho la misa takatifu. Yakobo anarudi nyumbani kwake akiwa na utajiri mwingi. Lakini anakumbana na kiumbe wa ajabu aliyempatia changamoto na Yakobo anapambana. Mwishowe anatambua kwamba amekutana na Bwana. Hivyo, anaamua kuomba baraka, na hapa jina lake linabadilishwa,
REFLECTION CAPSULE – July 11, 2023: Tuesday
REFLECTION CAPSULE – July 11, 2023: Tuesday
“Forming ourselves to be more and more worthy of our life as Christians!”
(Based on Gen 32:23-33 and Mt 9:32-38 – Tuesday of the 14th Week in Ordinary Time, Year 1)
Avid book readers will testify to the fact that when some books are read – fascinating novels or epic stories or even some real-life or dramatic stories…
… there is a tendency to identify oneself with one of the characters in the book.
Zeal for Souls July 11, 2023
Zeal for Souls July 11, 2023 Tuesday of the Fourteenth Week in Ordinary Time
Readings for Today Saint Benedict, Abbot—Memorial Jesus went around to all the towns and villages, teaching in their synagogues, proclaiming the Gospel of the Kingdom, and curing every disease and illness.
*Monday 10th July 2023 Daily Reflection and Meditation*
*Monday 10th July 2023 Daily Reflection and Meditation*
‘ _Truly God is here and I never knew it.’_
*Good morning!*
Today I remember the day I joined the Jesuit Novitiate in Arusha, Tanzania, and begun my probation. Even though the journey has had ups and downs, high moments as well as low moments, I thank God for I have not regretted having joined the Jesuits. For those who have journeyed with me I say thank you. Truly God is here even though I never knew it. Thankyou God! Thankyou my journey companions.
*Have a blessed day and week.*