News
Ufukuaji Wa Miili Katika Msitu Wa Shakahola Waendelea
Shughuli ya ufukuaji wa miili katika msitu wa Shakahola kaunti ya Kilifi imesitishwa kwa muda ili kutoa nafasi ya awamu ya nne ya uchunguzi wa miili hiyo ili kubaini chanzo cha vifo hivyo.
Uchunguzi huo unafanyika katika hospitali ya kaunti ndogo ya Malindi.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyolewa na mshirikishi mkuu utawala ukanda wa Bi Pwani Rhoda Onyancha, ni kwamba, katika awamua hii ya nne, miili sita zaidi imefukuliwa kutoka msitu huo na idadi ya miili iliyofukuliwa katika msitu huo kuongezeka hadi 425.
Ripoti hiyo imesema hakuna mtu yeyeote aliyenusuriwa akiwa hai wala wasshukiwa kukamatwa kuhusiana na mauji hayo huku miili 87 ilifukuliwa katika awamu hii ya nne ikitarajiwa kufanyiwa upasuaji.
REFLECTION CAPSULE – July 20, 2023: Thursday
REFLECTION CAPSULE – July 20, 2023: Thursday
“Resting in the Presence of the Lord and learning from Him!”
(Based on Exod 3:13-20 and Mt 11:28-30- Thursday of the 15th Week in Ordinary Time, Year 1)
An old lady was sitting in the park – all alone and dejected.
A young boy – who was sitting on the opposite bench – and was doing some writing work, had been constantly watching this lady who was brooding over some worry.
The Yoke of Christ July 20, 2023 Thursday
The Yoke of Christ
July 20, 2023
Thursday of the Fifteenth Week in Ordinary Time
Readings for Today
Saint Apollinaris, Bishop and Martyr—Optional Memorial
“Take my yoke upon you and learn from me, for I am meek and humble of heart; and you will find rest for yourselves. For my yoke is easy, and my burden light.” Matthew 11:29–30
For those first followers of Jesus, a “yoke” was a familiar term. Many would have worked with oxen and other animals on a regular basis to plow their fields. To do so, they would place a wooden yoke over the oxen, which was a form of harness that was also attached to the plow, making it easier for the oxen to till the soil. To be strapped with a yoke was an indication of servitude, since that was the role of the oxen.
Askofu Mhashamu Philip Anyolo wa Jimbo Kuu Katoliki La Nirobi Awataka Wanawake Kushiriki Katika Utume wa Kichungaji wa Kanisa
Askofu Mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Nairobi Mhashamu Philip Anyolo, amewataka wanawake wa Kanisa Katoliki nchini Kenya kuchukua nafasi kubwa katika kulisaidia Kanisa katika utume wake wa kichungaji.
"Kama sehemu kubwa ya wakristu, hampaswi kujiweka kando. Ni lazima mshiriki katika huduma ya Kanisa", alisema Mhashamu Philip Anyolo
Mhashamu Philip Anyolo aliwaambia wanawake wa Jumuiya ya Wanawake Wakatoliki wa eneo hilo juu ya wajibu wao wa kichungaji "kupenda, kusaidia mapadre wao na Kanisa kwa ujumla".
Aliwataka wanawake wa kikatoliki kuchukua nafasi kubwa ya kulisaidia Kanisa katika utume wake wa kichungaji na kuwakumbusha majukumu mbalimbali ambayo wanawake walitekeleza katika Biblia na historia ya Kanisa.
"Msijichukulie kama watu 'wadogo' katika shamba la mizabibu wakati wowote; badala yake, jihesabuni kama wafanyakazi wenza katika shamba la mizabibu", alisema Mhashamu Philip Anyolo