News
Semina juu ya Kanuni ya Imani na Sala ya Baba Yetu
- Details
Semina ya Kanuni ya Imani na Sala ya Bwana
Sr Annastacia Mutisya, MPBS - mkuu wa kitego cha Katekesi jimboni Malindi leo ametoa semina kwa waalimu wakatoliki juu ya ufafanuzi wa katekesi ya Kanuni ya Imani na Sala ya Baba Yetu. Semina hiyo imefanyika leo Jumamosi tarehe 15 Mei 2024 katika Parokia ya Mt Karoli Lwanga Muyeye, Malindi.
Kuhusu Kanuni ya Imani Sr Annastacia amesisitiza juu ya umuhimu na maana ya kila sehemu ya sala hiyo.
Sr Anastacia ameeleza kuwa kanini ya imani ya Kanisa Katoliki inakuhusu mafundisho makuu ya Imani yao katika Utatu Mtakatifu: Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, na umuhimu wa kuelewa na kuishi kulingana na imani hii, na jinsi walimu wa Kanisa wanavyohamasishwa kufundisha na kuishi kwa mfano wa imani hii kwa wengine.
Juu ya Sala ya Baba Yetu, Sister alisema kuwa sala hii ni mwongozo wa uhusiano wa karibu na Mungu, ombi la ufalme wa Mungu kudhihirika, maombi ya mahitaji ya kila siku, msamaha, ulinzi dhidi ya majaribu, na tamko la imani.
Walimu wamehimizwa kufundisha sala hizi kwa ufahamu wa kina ili kuwasaidia waumini kuelewa na kuishi kulingana na imani yao.
Semina hii ilihihitimishwa kwa wito wa kuishi kwa mfano bora kama Wakristo na kutegemea msaada wa Mungu katika kila hatua.
Muhutasari wa semina hiyo:
Bishop Willybard Lagho Visits Diocesan Projects in Malindi on 17-06-2024
- Details
Bishop Willybard Lagho Visits Diocesan Projects in Malindi on 17-06-2024
On June 17, 2024, Bishop Willybard Lagho inspected various ongoing diocesan projects in Malindi.
The bishop inspected the ongoing renovation of the former boys’ dormitory, which will house the bishop’s office once complete. He also visited the nearly completed *St. Joseph Katsangani Catholic Church*, expressing his satisfaction with the progress. The bishop stated, "The church will reduce the walking distances for parishioners."
Bishop Lagho was pleased with the work progress at *St. Joseph Katsangani Catholic Church*. The contractor assured him that the construction would be completed by October. The bishop extended his gratitude to the supporters of the project.
At Bishop Francis Baldacchino School, Bishop Lagho met the headteacher, Mr. Francis Mwachilungo, who spoke about the preparations for hosting a Junior Secondary school.
Additionally, the bishop visited a 5-acres cassava plantation at Majivuni Prison, emphasizing the importance of such initiatives for the financial sustainability of the diocese.
By Collins Mdarisi
Askofu W. Lagho juu ya mswada wa Kifedha 2024-2025*
- Details
*Askofu Willybard Lagho wa Jimbo katoliki la Malindi azungumzia mswada wa Kifedha 2024-2025* (By Collins Mdarisi)
Askofu ameziomba mashirika na taasisi zisizo za kiserikali kuielimisha jamii kuhusu mswada huo ambao unaweza kuboresha au kuathiri Maisha yao.
Askofu Willybard Lagho pia amesisitiza kuwa wakenya watatoa mapendekezo sahihi iwapo wataelezewa kikamilifu yaliyomo kwenye mswada huo.
Professional of First Vows for Sister Elizabeth Auma Oloo, FMSA
- Details
**Professional of First Vows for Sister Elizabeth Auma Oloo, FMSA**
**Date: Friday, May 16, 2024**
The Franciscan Missionary Sisters of Assisi welcomed a new member into their sisterhood on Friday, May 16, 2024. Sister Elizabeth Auma Oloo took her first vows in a special ceremony held at the sisters' convent in Nairobi, Kenya.
The profession of first vows is a significant and joyous occasion in the life of a religious sister. It marks the formal commitment of the sister to live out her religious vows of poverty, chastity, and obedience in service to God and the community.
Bishop Lagho’s meeting with COMUNDO directors
- Details
*Today 17th May 2024, Bishop wilbard Lagho of Malindi Diocese met with COMUNDO leaders*
*In attendance was COMUNDO Director Marc Bloch, COMUNDO Head of international Department Corinne Sala COMUNDO program manager Kenya and Zambia Andrea wynistorf*
*In today's meeting, COMUNDO Director wanted to know how the diocese is doing and how they work with the two Co-works og COMUNDO*