News
Watunza Mazingira Kutuzwa na Serikali Ya Kaunti
Serikali ya Kaunti ya Lamu, imetangaza mpango wa kuwatuza wote wanaotunza mikoko na wapandao miti eneo hilo kama njia ya kuwatia motisha.
Gavana wa kaunti ya Lamu, Issa Timamy amesema kupanda miti kwa wingi ni mojawapo ya ajenda kuu za kaunti hiyo. Ili kutimiza ajenda hiyo ya kupanda miti milioni moja na pia nchi kupanda miti bilioni 15 kufikia 2032, Gavana huyo amesema itakuwa vyema kwa kila kaunti kutafuta mbinu za kufanikisha mpango huo.
Wiki jana, serikali ya kaunti ya Lamu kupitia kwa gavana Timamy ilitangaza kuwa imetenga shilingi milioni moja kwa minajili ya kufanikisha shughuli za kupanda miti kaunti hiyo.
“Kama kaunti, tumeafikia kutambua kila kundi linaloendeleza shughuli za utunzi wa mazingira, ikiwemo kupanda miti eneo hili. Tayari nimeagiza kuwe na mpango ambapo kila kundi litawasilisha ripoti kuhusu ni miti mingapi imepandwa, wapi na inaendelezwa vipi kabla ya kutuzwa fedha. Tukifanya hivyo ninaamini hilo lengo la kupanda miti bilioni 15 nchini kufikia 20312 litatimia,” alisema Gavana Timamy.
Naibu Kamishna wa Kaunti ya Lamu, Charles Kitheka aliwapongeza wakazi wa Lamu kwa juhudi zao katika kupanda miti kwa wingi na kutunza miti, hasa mikoko.
Kwa mujibu wa rekodi kutoka kwa Shirika la Huduma za Misitu nchini (KFS), Lamu iko na asilimia takriban 65 ya msitu wa mikoko, ikilinganishwa na maeneo mengine ya nchi.
“Ninawashukuru sana wananchi wa hapa kwa kujitolea kutunza misitu. Ninaamini tukishikana tutafaulisha nyongeza ya asilimia 30 ya misitu kpote nchini kufikia mwaka 2032. Tujiepushe na uharibifu wa misitu,” alisema Kitheka.
ASALI MUBASHARA-Jumatatu 29/05/2023
ASALI MUBASHARA-Jumatatu 29/05/2023
Karibuni sana ndugu wapendwa kwa adhimisho la Misa Takatifu asubuhi ya leo. Leo tunaadhimisha kumbukumbu ya Bikira Maria mama wa Kanisa. Ni kumbukumbu iliyoamriwa iadhimishwe baada ya Pentecoste kuonesha ushirika na mchango wa Maria katika Kanisa.
Daily Reflections: Monday, May 29, 2023: Your Heavenly Mother
Your Heavenly Mother
Monday, May 29,2023
Memorial of the Blessed Virgin Mary, Mother of the Church
Readings for Today
Standing by the cross of Jesus were his mother and his mother’s sister, Mary the wife of Clopas, and Mary of Magdala. When Jesus saw his mother and the disciple there whom he loved, he said to his mother, “Woman, behold, your son.” Then he said to the disciple, “Behold, your mother.” And from that hour the disciple took her into his home. John 19:25–27
Mashahidi wa Uganda
Historia ya Mashahidi wa Uganda.
Hali ya Wasiwasi Yaanza Kutanda
Kikwazo kikubwa katika uenezaji wa dini kilikuwa ni mapokeo ya watu – madaraka ya machifu wakiongozwa na Waziri Mkuu, Mukasa. Mukasa alimshawishi sana Kabaka Mwanga aufutilie mbali ukristo, akimwaminisha kuwa hawa Wamisionari watamnyang'anya ufalme. Na hapo ndipo Mwanga alipoanza kuwaua wakristo.
Saturday 27th May 2023 Daily Reflection and Meditation
May 27, 2023: A Holy Awe
[Sr Cecilia Nguma]
Saturday of the Seventh Week of Easter
Saint Augustine of Canterbury, Bishop—Optional Memorial
It is this disciple who testifies to these things and has written them, and we know that his testimony is true. There are also many other things that Jesus did, but if these were to be described individually, I do not think the whole world would contain the books that would be written. John 21:24–25