Catholic Diocese Malindi

slider10.jpg
slider5.jpg
slider8.jpg
slider6.jpg
slider11.jpg
slider9.jpeg
previous arrow
next arrow

*Askofu Willybard Lagho wa Jimbo katoliki la Malindi azungumzia mswada wa Kifedha 2024-2025* (By Collins Mdarisi)

Askofu ameziomba mashirika na taasisi zisizo za kiserikali kuielimisha jamii kuhusu mswada huo ambao unaweza kuboresha au kuathiri Maisha yao.

Askofu Willybard Lagho pia amesisitiza kuwa wakenya watatoa mapendekezo sahihi iwapo wataelezewa kikamilifu yaliyomo kwenye mswada huo.